Tofauti kati ya marekesbisho "Hali ya hatari"

2,114 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
'''Hali ya hatari''' ni hali ambayo inawezesha [[serikali]] kufanya vitendo ambavyo kwa kawaida hairuhusiwi kufanya. Serikali inaweza kutangaza hali hiyo wakati wa maafa, machafuko ya kiraia au [[vita]]. Tangazo la hali ya hatari huwatahadharisha wananchi kubadilisha maisha yao ya kawaida na huruhusu vyombo vya serikali kutekeleza mipango ya dharura. 
 
Hali ya hatari pia inaweza kutumika kama kisingizio cha kutupilia mbali uhuru na haki zilizotolewa na [[katiba]]. Utaratibu na uhalali wa kufanya hivyo kutofautianahutofautiana na nchi.
 
Katika baadhi ya nchi, ni kinyume cha sheria ya kurekebisha sheria ya hali ya hatari au katiba ya wakati wa hali ya hatari. Katika nchi nyingine kuna uhuru wa kubadilisha sheria yoyote au haki zilizotolewa na katiba wakati wowote bunge inaamua kufanya hivyo.
Mwaka 1952, serikali ya kikoloni ya Kenya, ikiongozwa na [[Evelyn Baring|Bwana Evelyn Baring]], ilitangaza hali ya hatari baada ya waasi wa [[Maumau|Mau Mau]] kuanza vita dhidi ya wazungu na Waafrika waliowaunga mkono. Hali hiyo iliisha mwaka 1960<ref>{{Citation|last=Leander|title=The longest state of emergency in Kenya ends|date=2013-11-07|url=https://www.sahistory.org.za/dated-event/longest-state-emergency-kenya-ends|work=South African History Online|language=en|access-date=2018-08-05}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://medium.com/@IanEdgarAplin/state-of-emergency-in-kenya-1952-1960-421ed3c0a87d|title=State of Emergency in Kenya, 1952-1960|author=Ian Edgar Aplin|date=2014-06-12|work=Ian Edgar Aplin|accessdate=2018-08-05}}</ref>.
 
[[Katiba ya Kenya]] inakubali hali ya hatari wakati wa [[maafa ya asilia]], vita, machafuko ya kisiasa au hali nyingine yoyote inayohitaji hali ya hatari itangazwe. Rais atatangaza wiki mbili za hali hiyoya hatari baada ya kupitishwa kwa azimio na wabunge thuluthi mbili. Kuongeza muda wa hali hiyo kunahitaji azimio lipitishwe na wabunge robo tatu. Hata hivyo, katiba inaruhusu mahakama ya upeo kutupilia mbali azimio na sheria yoyote itakayopitishwa katika hali ya hatari. [[Haki za binadamu nchini Kenya|Haki za binadamu]] hazifai kukiukwa kwa muda ambao hali ya hatari itakuwa<ref>{{Cite web|url=http://www.klrc.go.ke/index.php/constitution-of-kenya/114-chapter-four-the-bill-of-rights/part-4-state-of-emergency/224-58-state-of-emergency|title=58. State of emergency - Kenya Law Reform Commission (KLRC)|language=en-gb|work=www.klrc.go.ke|accessdate=2018-08-05}}</ref>.
 
=== Uhabeshi ===
Hali ya hatari katika nchi ya [[Uhabeshi]] ilitangazwa Oktoba mwaka 2016 na aliyekuwa waziri mkuu, [[Haile Mariam Desalegne|Hailemariam Desalegn]], baada ya [[Waoromo]] kuandamana<ref name=":0">{{Citation|title=Legal Analysis of Ethiopia’s State of Emergency|date=2016-10-30|url=https://www.hrw.org/news/2016/10/30/legal-analysis-ethiopias-state-emergency|work=Human Rights Watch|language=en|access-date=2018-08-05}}</ref>. Sheria ya hali ya hatari iliwataka [[Mwanadiplomasia|wanadiplomasia]] kutosafiri zaidi ya km 40 kutoka [[Addis Ababa]], na kutokuwa na mawasiliano na vikundi vilivyosemwa kuwa [[Gaidi|magaidi]]. Pia, sheria hiyo ilipiga marufuku mikutano ya hadharani na kuwapa majeshi ya usalama nguvu za kuwatia ndani waliokiuka sheria hiyo bila idhini ya mahakama<ref>{{Cite web|url=http://www.dw.com/en/ethiopia-regime-unveils-rules-for-state-of-emergency/a-36055101|title=Ethiopia regime unveils rules for state of emergency {{!}} DW {{!}} 16.10.2016|author=Deutsche Welle (www.dw.com)|language=en|work=DW.COM|accessdate=2018-08-05}}</ref><ref name=":0" />. Ilikatizwa Agosti mwaka 2017.
 
Hali ya hatari ilitangazwa tena Februari mwaka 2018 kwa miezi sita, siku moja baada ya Hailemariam Desalegn kujiuzulu<ref>{{Cite web|url=https://www.dw.com/sw/sheria-ya-hali-ya-hatari-ethiopia-na-migodi-magazetini/a-42710678|title=Sheria ya hali ya hatari Ethiopia na Migodi Magazetini {{!}} DW {{!}} 23.02.2018|author=Deutsche Welle (www.dw.com)|language=sw|work=DW.COM|accessdate=2018-08-05}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://taifaleo.nation.co.ke/index.php/hali-ya-hatari-nchini-ethiopia-kudumu-kwa-miezi-sita-ijayo/|title=Hali ya hatari nchini Ethiopia kudumu kwa miezi sita ijayo – Taifa Leo|language=sw|work=taifaleo.nation.co.ke|accessdate=2018-08-05}}</ref>. Juni mwaka 2018 baada ya bunge kupiga kura kuikatiza hali ya hatari<ref>{{Citation|title=Ethiopia lifts state of emergency|url=https://www.nation.co.ke/news/africa/Ethiopia-lifts-state-of-emergency/1066-4597120-dvef66/index.html|work=Daily Nation|language=en-UK|access-date=2018-08-05}}</ref>.
 
== Marejeo ==
<references />{{Reflist|30em}}
[[Jamii:Serikali]]
[[Jamii:Sheria]]
285

edits