Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
:Kwa maana nyingine, tazama [[Mkoa wa Dar es Salaam]]
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Dar es Salaam
Line 50 ⟶ 51:
Dar es Salaam ni mji unaosemekana kuwa mkubwa kuliko yote kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ya viwanda, uwepo wa bahari, uwepo wa sehemu mbalimbali za kihistoria n.k.
 
==Huduma za Jijijiji==
Huduma ya [[maji]] Dar es Salaam imekuwa na [[tatizo]] kubwa katika kudhibiti mfumo wa [[maji taka]] katika mkoa wa Dar es Salaam kwa muda mrefu. Tangu shirika la maji DAWASCO (Dar es Salaam Water Supply Company) lilipowekwa rasmi kama shirika husika katika kuratibu [[utaratibu]] mzima wa [[mfumo wa maji safi]] na maji taka, kumekuwa na nafuu kidogo tu, lakini baada ya muda, liliibuka tatizo la kuibiwa kwa ma[[bomba]] na [[uharibifu]] wa vyanzo mbalimbali vya maji.
 
Line 56 ⟶ 57:
Kwenye suala hili la [[elimu]] [[vijana]] wanatakiwa kupewa elimu; hasa vijana wa mitaani wasioingiza kipato inabidi wapewe elimu kwa [[kazi]] fulani ili waweze kuajiriwa na kulipa faida [[taifa]] kwa kuingizia kipato na kukuza [[uchumi]] wa taifa. Mfano wa kazi hizo ni kama [[ujenzi]] wa [[nyumba]] n.k.
 
== Picha za Dar es Salaam ==
<gallery>
{{Wide image|Dar es Salaam Panorama edit2.jpg|3000px|View of Dar es Salaam showing the city center, Posta, and the slums}}
Image:Dar Ikulu-tz.jpg|'''Ikulu''' - Nyumba ya Rais huko Dar-Es- es Salaam
Image:DarEsSalaam-SamoraMachelAvenue.jpg|Samora Machel Avenue ikiwa na N.I.C. House
Image:DarEsSalaam-Skyline.jpg|Feri ya kuvuka Kigamboni, huku nyumba za jiji zaonekanazikionekana ng'ambo ya bandari asilia
Image:Dar Askari.jpg|Sanamu ya "Askari" kwa ajili ya maaskari Waafrika walioshiriki vita kuu ya kwanza upande wa Waingereza
Image:Dar Po (1).jpg|Uwanja wa Ndege wa kimataifa
Image:Dar Jangwani -1.jpg|Timu ya mpira ya Yanga (Young African Sports Club) wanakaribishwa Dar
Image:Dar Mnazi-mmoja.jpg|Mnazi Mmoja
[[File:Dar es Salaam in 1930s.JPG|320x240px|thumbnail|left| jiji la Dar es Salaam miaka ya ya19301930.]]
</gallery>