Michezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Wilson Kipsang 2012 London Marathon.jpg|thumb|200px|Mashindano ya mbio ya masafa marefu sana, maarufu kama Marathon.]]
'''Michezo''' ni [[amali]] au ma[[zoezi]] ya ki[[mwili]] ambayo mara nyingi yana [[ushindani]] ndani yake. Yanatendeka kufuatana na kawaida na taratibu maalumu zilizokubaliwa kati ya wachezaji au katika [[jamii]]. Michezo ni ya aina nyingi ikiwemo michezo ya juu anagani, majini, nchi kavu na pia kwa barafu. Watu hushriki kwenye michezo kushindania zawadi, kama aina ya mazoezi au kujiburudisha.
Kuna pia [[michezo]] inayotumia vifaa kama vile [[mpira]], [[silaha]], [[baisikeli]], ma[[boti]] n.k.
 
Kuna michezo ambayo huhusisha mwili kama vile mbio ambazo huwa na vitengo tofauti tofauti, miereka, dodi, kareti, judo, taekwondo, kuruka juu, kuruka urefu, kuogelea n.k. Kuna michezo inahusisha akili kama vile chesi, sarantanji, bao n.k. Kuna michezo inahusisha wanyama kama vile msabaka na mpira wa polo. Kuna michezo inayohusicha mashine kama vile mbio za magari, pikipiki, baiskeli, boti na kadharika. Kuna pia [[michezo]] inayotumia vifaa kama vile [[mpira|mipira]], [[silaha]], viatu na mbao telezi ( zijuilikanazo kwa kingereza kama skating shoes/roller skates and skating boards) n.k.
Mifano [[maarufu]] ya michezo ni [[Mpira wa miguu]], [[mpira wa kikapu]], [[mpira wa mikono]], aina za [[mbio]], mashindano ya kuogelea na kadhalika.
 
Mifano [[maarufu]] ya michezo ni [[Mpira wa miguu]], [[mpira wa kikapu]], [[mpira wa mikono]], mprira wa magongo, aina za [[mbio]], mashindano ya kuogelea, na kadhalika.
 
Watu wengi hupenda kutazama mashindano ya michezo. [[Tabia]] hii imekuwa msingi kwa wachezaji wanaotekeleza michezo yao si kwa kujiburudisha, bali kikazi na kwa [[malipo]].
Mstari 12:
Kwa nchi ya [[Tanzania]] michezo inayopendwa sana ni: [[mpira wa miguu]], [[riadha]], [[mpira wa pete]], [[mpira wa wavu]]; pia kuna hamasa kubwa kwa watu kusoma ma[[gazeti]] kuhusu michezo ili kupata dondoo na habari muhimu kuhusu michezo mbalimbali inayoendelea huko viwanjani.
 
== Tanbihi ==
{{michezo}}
 
== Marejereo ==
 
==== kiswahili ====
 
* [[Mpira|Mipira]]
* [[Michezo ya Olimpiki]]
 
==== kingereza ====
 
* https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_sports
* https://en.wikipedia.org/wiki/Sport
* https://en.wikipedia.org/wiki/Outline_of_sports
 
== Viungo za nje ==
* [https://skateboardseek.com/how-to-do-an-ollie-on-a-skateboard/ Kuhusu mchezo wa mbao telezi]
 
 
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Michezo|*]]