Michezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Wilson Kipsang 2012 London Marathon.jpg|thumb|200px|Mashindano ya mbio ya masafa marefu sana, maarufu kama Marathon.]]
'''Michezo''' ni [[amali]] au ma[[zoezi]] ya ki[[mwili]] ambayo mara nyingi yana [[ushindani]] ndani yake. Yanatendeka kufuatana na kawaida na taratibu maalumu zilizokubaliwa kati ya wachezaji au katika [[jamii]]. Michezo ni ya aina nyingi ikiwemo michezo ya juu anagani, majini, nchi kavu na pia kwa barafu. Watu hushriki kwenye michezo kushindania zawadi, kama aina ya mazoezi au kujiburudisha.
 
Michezo ni ya aina nyingi ikiwemo michezo ya juu [[Anga|angani]], [[Maji|majini]], kwenye nchi kavu na pia kwenye [[barafu]]. Watu hushiriki kwenye michezo kushindania [[zawadi]], kama aina ya mazoezi au kujiburudisha tu.
Kuna michezo ambayo huhusisha mwili kama vile mbio ambazo huwa na vitengo tofauti tofauti, miereka, dodi, kareti, judo, taekwondo, kuruka juu, kuruka urefu, kuogelea n.k. Kuna michezo inahusisha akili kama vile chesi, sarantanji, bao n.k. Kuna michezo inahusisha wanyama kama vile msabaka na mpira wa polo. Kuna michezo inayohusicha mashine kama vile mbio za magari, pikipiki, baiskeli, boti na kadharika. Kuna pia [[michezo]] inayotumia vifaa kama vile [[mpira|mipira]], [[silaha]], viatu na mbao telezi ( zijuilikanazo kwa kingereza kama skating shoes/roller skates and skating boards) n.k.
 
*Kuna michezo ambayo huhusisha mwili kama vile [[mbio]] ambazo huwa na vitengo tofautitofauti, [[miereka]], [[dodi]], [[kareti]], [[judo]], [[taekwondo]], kuruka juu, kuruka urefu, kuogelea n.k.
Mifano [[maarufu]] ya michezo ni [[Mpira wa miguu]], [[mpira wa kikapu]], [[mpira wa mikono]], mprira wa magongo, aina za [[mbio]], mashindano ya kuogelea, na kadhalika.
 
*Kuna michezo inayohusisha [[akili]] kama vile [[chesi]], [[sarantanji]], [[bao]] n.k.
Watu wengi hupenda kutazama mashindano ya michezo. [[Tabia]] hii imekuwa msingi kwa wachezaji wanaotekeleza michezo yao si kwa kujiburudisha, bali kikazi na kwa [[malipo]].
 
*Kuna michezo inayohusisha [[wanyama]] kama vile [[msabaka]] na [[mpira wa polo]].
Tangu kale watu wamekutana kwa mashindano makubwa ya michezo kati ya jamii, ma[[kabila]] au ma[[taifa]]. Kati ya mashindano mashuhuri hasa ni [[Michezo ya Olimpiki]] iliyofanyika awali [[Ugiriki wa Kale]] na sasa inafanyika kwa ushiriki wa mataifa yote duniani kila baada ya miaka minne.
 
*Kuna michezo inayohusisha [[mashine]] kama vile [[mbio za magari]], [[pikipiki]], [[baiskeli]], [[boti]] na kadhalika.
Kwa nchi ya [[Tanzania]] michezo inayopendwa sana ni: [[mpira wa miguu]], [[riadha]], [[mpira wa pete]], [[mpira wa wavu]]; pia kuna hamasa kubwa kwa watu kusoma ma[[gazeti]] kuhusu michezo ili kupata dondoo na habari muhimu kuhusu michezo mbalimbali inayoendelea huko viwanjani.
 
*Kuna pia [[michezo]] inayotumia [[vifaa]] kama vile [[mpira|mipira]], [[silaha]], [[viatu]] na [[mbao telezi]] (zijuilikanazo kwa Kiingereza kama skating shoes/roller skates and skating boards) n.k.
== Tanbihi ==
 
Mifano [[maarufu]] ya michezo ni [[Mpirampira wa miguu]], [[mpira wa kikapu]], [[mpira wa mikono]], mprira[[mpira wa magongo]], aina za [[mbio]], mashindano ya kuogelea, na kadhalika.
== Marejereo ==
 
Watu wengi hupenda kutazama mashindano ya michezo. [[Tabia]] hii imekuwa msingi kwa wachezaji wanaotekeleza michezo yao si kwa kujiburudisha, bali kikazi na kwa [[malipo]], pengine makubwa ajabu.
==== kiswahili ====
 
Tangu kale watu wamekutana kwa mashindano makubwa ya michezo kati ya [[jamii]], ma[[kabila]] au ma[[taifa]]. Kati ya mashindano mashuhuri hasa ni [[Michezo ya Olimpiki]] iliyofanyika awali [[Ugiriki wa Kale]] na sasa inafanyika kwa ushiriki wa mataifa yote [[duniani]] kila baada ya miaka minne.
 
Kwa nchi ya [[Tanzania]] michezo inayopendwa sana ni: [[mpira wa miguu]], [[riadha]], [[mpira wa pete]], [[mpira wa wavu]]; pia kuna hamasa kubwa kwa watu kusoma ma[[gazeti]] kuhusu michezo ili kupata dondoo na habari muhimu kuhusu michezo mbalimbali inayoendelea huko viwanjani.
 
== Tanbihi ==
{{reflist}}
== Tazama pia==
 
===Kwa Kiswahili===
* [[Mpira|Mipira]]
* [[Michezo ya Olimpiki]]
 
====Kwa kingereza =Kiingereza===
 
* https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_sports
* https://en.wikipedia.org/wiki/Sport
* https://en.wikipedia.org/wiki/Outline_of_sports
 
== Viungo zavya nje ==
* [https://skateboardseek.com/how-to-do-an-ollie-on-a-skateboard/ Kuhusu mchezo wa mbao telezi]
 
 
{{mbegu-utamaduni}}