Ngoma (muziki) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 23 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q537750 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Djembe.jpg|thumb|250px|Ngoma (''djembe'')]]
'''Ngoma'''
Ngoma ni muziki na [[lugha]] ya pekee inayotumika kwa kuelezea [[utamaduni]] na [[historia]] ya nchi fulani, tunatumia lugha ya ngoma katika kuelezea hali mbalimbali za [[maisha]] yetu, kama vile [[huzuni]], [[furaha]], [[mapenzi]],
Ngoma pia ilitumika na [[jamii]] mbalimbali kama njia ya kuita [[watu]] kwenye kusanyiko muhimu, kama vile [[vita]], [[mkutano|mikutano]] {{mbegu-muziki}}
|