UNIX : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''UNIX''' ni mfumo wa uendeshaji wa kompyuta. Ulianzishwa kwanza mwaka 1969 huko Bell Labs na Ken Thompson, Dennis Ritchie, Douglas McIlr...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:11, 10 Agosti 2018

UNIX ni mfumo wa uendeshaji wa kompyuta. Ulianzishwa kwanza mwaka 1969 huko Bell Labs na Ken Thompson, Dennis Ritchie, Douglas McIlroy, na wengine wengi. Walitumia lugha ya msimbo au ishara za ufupisho kuiandika. Mwaka wa 1972, ishara za Unix zilirekebishwa tena na lugha mpya ya programu ya C. Mfumo wa uendeshaji wa Unix ni mfumo wa watumiaji wengi na kufanya kazi kutumia kichakato zaidi ya kimoja. Hii inamaanisha inaweza kuendesha mipango kadhaa ya programu kwa wakati mmoja, kwa mtumiaji zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Pia ina uwezo wa kufanya vizuri katika mtandao wa kompyuta. Usalama wa kompyuta pia ni muhimu kwenye Unix, kwa sababu watu wengi wanaweza kuitumia hiyo, kwa kutumia kompyuta moja kwa moja au kwenye mtandao.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.