Papa Yohane XII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:GiovanniXII.png|thumb|right|200px|Picha inayotumika kama yake, ingawa alipofariki alikuwa na umri wa miaka 27 tu.]]
'''Papa Yohane XII''' (takriban [[937]] – [[14 Mei]], [[964]]) alikuwa [[papa]] kuanzia [[16 Desemba]], [[955]] hadi [[kifo]] chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Octavian''' akiwa mzao wa [[Karolo Mkuu]] vizazi [[Saba (namba)|saba]] kutoka kwake.
 
Alikuwa akihusiana na ukoo wa [[Tusculum]] na mwanachama wa [[familia]] mashuhuri ya [[Teofilatto]] ambayo ilikuwa imesimamia [[siasa]] za Mapapa kwa zaidi ya [[nusu]] [[karne]]. [[Upapa]] wake ukawa mbaya kwa madai ya [[udhalimu]] na [[maadili]].
 
Alimfuata [[Papa Agapeto II]] akafuatwa na [[Papa Benedikto V]].