Lillian Moller Gilbreth : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Lillian Evelyn Moller Gilbreth''' ('''Mei 24''', 1878 - Januari 2, 1972) alikuwa mwanasaikolojia wa Marekani, mhandisi wa viwanda...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Lillian Evelyn Moller Gilbreth''' (
Alifafanuliwa katika [[miaka ya 1940]] kama "mtaalamu katika sanaa ya kuishi." Gilbreth, mmoja wa wahandisi [[mwanamke]] wa kwanza kupata [[Shahada ya Uzamivu]].
Anahesabiwa kuwa ndiye mwanasaikolojia wa kwanza wa [[viwanda]] . Yeye na mumewe, Frank Bunker Gilbreth, walikuwa wataalam wa ufanisi ambao walichangia utafiti wa uhandisi wa viwanda, hasa katika maeneo ya utafiti wa mwendo na mambo ya [[binadamu]].
{{mbegu-mtu}}▼
{{BD|1878|1972}}
[[Jamii:Wanasaikolojia wa Marekani]]
[[Jamii:Wahandisi wa Marekani]]
|