UNIX : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''UNIX''' ni mfumo wa uendeshaji wa kompyuta. Ulianzishwa kwanza mwaka 1969 huko Bell Labs na Ken Thompson, Dennis Ritchie, Douglas McIlr...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''UNIX''' ni mfumo wa uendeshaji wa [[kompyuta]]. Ulianzishwa kwanza mwaka [[1969mwaka]] huko [[Bell Labs1969]] na [[Ken Thompson]], [[Dennis Ritchie]], [[Douglas McIlroy]], na wengine wengi huko [[Bell Labs]]. Walitumia [[lugha]] ya [[msimbo]] au [[ishara]] za ufupisho kuiandika.
 
Walitumia lugha ya msimbo au ishara za ufupisho kuiandika. Mwaka wa [[1972]], ishara za Unix zilirekebishwa tena na lugha mpya ya programu ya C.
 
Mfumo wa uendeshaji wa Unix ni mfumo wa watumiaji wengi na kufanya kazi kutumia [[kichakato]] zaidi ya kimoja. Hii inamaanisha inaweza kuendesha mipango kadhaa ya programu kwa wakati mmoja, kwa mtumiaji zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Pia ina uwezo wa kufanya vizuri katika [[mtandao]] wa [[kompyuta]].
 
Usalama wa kompyuta pia ni muhimu kwenye Unix, kwa sababu watu wengi wanaweza kuitumia hiyo, kwa kutumia kompyuta moja kwa moja au kwenye [[mtandao]].
 
{{tech-stub}}
[[Jamii:Kompyuta]]