Tofauti kati ya marekesbisho "Linux"

37 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Linux au GNU/Linux''' ni mfumo wa uendeshaji wa Unix kwa kompyuta. Mfumo wa uendeshaji ni mkusanyiko wa maelekezo ya msingi ambayo hudhibiti sehemu z...')
 
No edit summary
'''Linux''' (au '''GNU/Linux''') ni mfumo wa uendeshaji wa [[Unix]] kwa [[kompyuta]].
'''Linux au GNU/Linux''' ni mfumo wa uendeshaji wa [[Unix]] kwa [[kompyuta]]. Mfumo wa uendeshaji ni mkusanyiko wa maelekezo ya msingi ambayo hudhibiti sehemu za [[umeme]] za [[kompyuta]] zinazoiruhusu mipango ya [[programu]] inayoendesha. Linux ni programu ya bure. Programu ya bure ina maana kwamba kila mtu ana uhuru wa kuitumia, kuangalia jinsi inavyofanya kazi, kuibadili au kuisambaza.
 
Kuna programu nyingi kwa ajili ya Linux na-kwasababu Linux yenyewe ni ya bure pia programu nyingi za Linux ni programu za bure. Hii ni sababu mojawapo ambayo watu wengi wanapenda kutumia Linux.
 
Linux ni [[programu]] ya bure. Programu ya bure ina maana kwamba kila mtu ana uhuru wa kuitumia, kuangalia jinsi inavyofanya kazi, kuibadili au kuisambaza.
 
Kuna programu nyingi kwa ajili ya Linux na-kwasababu kwa sababu Linux yenyewe ni ya bure, pia programu nyingi za Linux ni programu za bure. Hii ni sababu mojawapo ambayo watu wengi wanapenda kutumia Linux.
 
{{tech-stub}}
[[Jamii:Kompyuta]]