Alfredo Di Stefano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Alfredo Di Stefano''' ([[4 Julai]] [[1926]] - [[7 Julai]] [[2014]]) ni [[mchezaji]] wa zamani wa [[mpira wa miguu]] wa [[timu ya taifa]] ya [[Argentina]] na [[timu]] ya [[klabu]] ya [[Real Madrid]] aliyecheza katika nafasi ya [[mshambuliaji]].
 
Alifanikiwa kuchukua [[tuzo]] ya [[Ballon d'Or]] mara [[mbili]] mwaka [[1957]] na mwaka [[1959]], pia alipigiwaalipigwa [[kura]] na kuwa mtu wa nne katika kura za [[mchezaji]] [[bora]] wa [[karne ya 20]] nyuma ya [[Pele]], [[Maradona]] na [[Johan Cruyff]].
 
[[Picha:Mcu Alfredo Di Stefano.jpg|thumb|1x1px]]
Alifariki kwa [[ugonjwa wa moyo]].