Aral (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|lmo}} (3) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AralShip.jpg|thumb|300px|Meli ya ziwani inayokaa jangwani mahali pa bandari zamani]]
'''Ziwa Aral''' ([[Kikazakhi]]: ''Арал Теңізі'' ''(aral tengizi)'', [[Kiuzbeki]] ''Orol dengizi'', [[Kirusi]] ''Аральскοе мοре'' ''aralskoye more'') ni [[ziwa]] la [[Asia ya Kati]] mpakani mwa [[Kazakhstan]] na [[Uzbekistan]].
 
'''ZiwaHadi la Aral''' ([[Kikazakhimwaka]]: ''Арал Теңізі'' ''(aral tengizi)'', [[Kiuzbeki1960]] ''Orollilikuwa dengizi'',na [[Kirusi]] ''Аральскοе мοре'' ''aralskoye more'') ni ziwaeneo la [[Asia ya Katimaji]] linalopakana nala [[Kazakhstankm²]] na [[Uzbekistan]]. Hadi mwaka 1960 lilikuwa na eneo la maji la 68,000 km², lakini limepungua hadi kubaki na km² 17,160 km² pekee mwaka 2004. Tangu [[1987]] kupungua kwa maji kulisababisha ugawaji wa ziwa katika sehemu [[mbili]] upande wa kazkazini[[kaskazini]] na upande wa [[kusini]] ambazo haziunganahaziunganiki tena.
 
[[Mito]] mikubwa inayoingia na kubeba maji yake ni [[Amu Darya]] na [[Syr Darya]] na mito hii ilitumiwa katika mipango ya [[Umoja wa Kisovyeti]] kwa [[umwagiliaji]] wa [[Shamba|mashamba]] makubwa ya [[pamba]] na [[mazao]] mengine. Miradi hiihiyo iliyoanzishwa katika [[mazingira]] [[yabisi]] iliendelea kwa miaka 30 hivi hadi kushindikana; maji yamepotea kwa wingi mashambani na katika mifereji kutokana na [[usimbishaji]] na kusababisha kupunguzakupungua kwa mazao. Kiasi cha [[chumvi]] ardhini kiliongezeka sana jinsi ilivyo mara nyingi katika miradi ya umwagiliaji ya nchi za [[joto]] na kumaliza rutba[[rutuba]] ya [[udongo]].
 
Ziwa halikupokea tena kiasi chake cha maji, hivyo likapungua. Sehemu kubwa za eneo la ziwa la awali zimekuwa [[jangwa]]. Maji yaliyobaki yameharibika kutokana na maji sumu[[majitaka]] ya [[viwanda]] na [[mbolea]] nyingi iliyosukumwa kutoka mashamba mitoni halafu ziwani.
 
Kuna mradi wa kuokoa angalau sehemu ndogo ya kaskazini. Ukuta ulijengwa kwa shabaha ya kuzuia upotevu wa maji katika jangwa la msingi wa ziwa la kale. Uwiano wa maji yamepanda tena katika sehemu hii ndogo.
Line 22 ⟶ 23:
[[Jamii:Maziwa ya Kazakhstan]]
[[Jamii:Asia ya Kati]]
[[Jamii:Maziwa ya chumvi]]