Athi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Athi''' ni [[jina]] la [[mto]] katika [[Kenya]], [[Afrika Mashariki]]. Sehemu za mto hujulikana pia kwa majina ya '''Galana''' na '''Sabaki''', kwa hiyo mto wote huitwa pia '''Athi-Galana-Sabaki'''.
 
Ina [[urefu]] wa [[kilomita]] 390, na [[beseni]] yenyelenye eneo la [[Km²]] 70,000.
 
Mto wa Athi umeupatia jina lake [[mji]] wa [[Athi River]] karibu na [[Nairobi]] pia kwa kampuni ya [[Athi River Mining]].
Mstari 8:
 
Baada ya [[maporomoko ya maji]] ya [[Lugard]] inapokea [[mto Tsavo]] ikibadilika jina lake. Mto unaitwa kuanzia hapa kwa jina la Galana. Kabla ya kufika katika [[Bara Hindi]] karibu na [[Malindi]] upande wa [[kaskazini]] jina linabadilika tena kuwa Sabaki.
 
==Tazama pia==
* [[Mito ya Kenya]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.geonames.org Geonames.org]
 
{{mito ya Kenya}}
{{mbegu-jio-KenyaKE}}
 
[[Jamii:Mito ya Kenya]]
[[Jamii:Mto Galana]]
[[Jamii:Bahari ya Hindi]]