Historia ya Uislamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Historia ya Uislamu''' Historia ya dini ya kiislamu haikuanza na Mtume Muhammad (SAW) kama wanavyofikiria watu wengi bali imeanza tangu alipoletwa Nabii wa kwanza ulimwenguni, ambaye k...
 
d +jamii, +en
Mstari 1:
'''Historia ya [[Uislamu]]'''
 
Historia ya dini ya kiislamu haikuanza na [[Mtume Muhammad]] (SAW) kama wanavyofikiria watu wengi bali imeanza tangu alipoletwa Nabii wa kwanza ulimwenguni, ambaye kwa mujibu wa Waislamu ni Nabii Adam alipoteremshwa ulimwenguni na kupewa mwongozo na Mwenyezi Mungu wa namna gani kuishi hapa duniani kwa njia nzuri ya wema na hisani kwa kushikamana na mafunzo yake Mwenyezi Mungu na kujiepusha na makatazo yake.
 
Masimulizi ya historia hii ya Uislamu imeelezwa katika vitabu vitakatifu vya Mitume mbali mbali waliokuja duniani na kadhalika katika Qurani Tukufu. Umma mbali mbali zilizopita huko nyuma zimetajwa katika Qurani na kuelezwa namna gani zilivyoangamizwa kwa kutokubali ujumbe wa Mwenyezi Mungu na kuwakataa Mitume yake nao wakaletewa adhabu kali ya upepo au mvua au mafuriko na kadhalika.
Mstari 31:
13-Historia ya Uislamu mamboleo
 
==Marejeo:==
*http://en.wikipedia.org/wiki/Muslim_history#Timeline
*http://www.fordham.edu/halsall/islam/islamsbook.html
 
[[Category:Historia ya Uislamu|*]]
http://en.wikipedia.org/wiki/Muslim_history#Timeline
[[Category:Uislamu|Historia]]
http://www.fordham.edu/halsall/islam/islamsbook.html
 
[[en:Timeline of Islamic history]]