Volkswagen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing Volkswagen_logo.svg, it has been deleted from Commons by Jcb because: per c:Commons:Deletion requests/File:Logo Volkswagen.png.
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Mstari 93:
 
== Historia ==
Chanzo cha kampuni ilikuwa mnamo mwaka 1937. Wakati ule dikteta wa Ujerumani Adolf Hitler alitaka motokaa yenye bei nafuu kwa wananchi wa kawaida na "Volkswagen" ina maana ya "gari la wananchi" iliyoweza kubeba familia ya watu 4 na kutembea kwa mkasi wa 100 [[km/h]]. Muhandis [[Ferdinand Porsche]] aliombwa kutunga gari lenye bei ndogo lililoweza kupatikana kwa watu wengi wenye mishahara midogo. Kutokana na umbo lake limejulikana kwa jina la "Käfer" ([[ing.]] ''beetle'' yaani mdudu mwenye umbo la kangambili). Kiwanda kipya kilianzishwa mashambani karibu la boma la kale lililoitwa "Wolfsburg" likawa chanzo cha mji wa baadaye. Kiwanda kilikamilishwa mwaka [[1939]] miezi michache kabla ya mwazo wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Kutokana na vita magari yaliyokududiwayaliyokusudiwa hayakujengwa badala yake modeli zilibadilishwa kwa matumizi ya kijeshi. Baada ya kushindwa kwa Ujerumani Wolfsburh ilikuwa chini ya utawala wa Kiingereza kwa miaka 4 na Waingereza walisita kwa muda kama wangeendeleza kiwanda au kuiuza. Lakini waliona modeli ya Volkswagen iliyoanza kutolewa sasa kwa idadi ndogo haikufaa waliwachia Wajerumani. Lakini katika miaka iliyofuata tangu [[Ujerumani ya Magharibi]] ilirudishwa hali ya kujitawala gari lilelile likawa ishara ya kurudishwa kwa nguvu ya kiuchumi. Mwaka 1955 tayari milioni 1 ya motokaa zenye umbo la dudu zilitembea barabarani. Mafanikio ya kampuni yaliendelea kwa kutoa modeli mpya na kubwa zaidi. Mnamo 1965 VW ilinunua kiwanda cha NSU - Audi na kampuni hii ilibuni aina za modeli kama Golf na Passat zilizouzwa baadaye tangu 1974 kama kizazi kipya cha VW baada ya mauzo ya VW-beetle kupungua. Model ya zamani iliendelea kutengenezwa katika viwanda huko Meksiko na [[Brazil]].
 
Tangu 1986 VW iliendelea kunua makampuni mengine kama Seat ya Hispania, Skoda ya Ucheki na mengine. VW imeendelea kupanusha utengenezi wake hata nje ya magari ya familia. Siku hizi jumuiya ya makampuni chini ya VW inatengeneza magari ya mizigo, malori, magari ya michezo, magari yenye bei za juu na mengine.