Volkswagen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:World locations of Volkswagen Group factories updated.svg|thumb|250px|Nchi penye viwanda vya makampuni chini ya VW duniani]]
'''Volkswagen''' (''maana ya [[Jer.Kijerumani]]: ''gari la wananchi'') inayojulikana pia kwa [[kifupi]] chake '''VW''' (tamka [[ing.]] vii-dabl-yu au [[jer.]] vau-we) ni [[kampuni]] ya kutengeneza [[motokaa]] kutoka nchini [[Ujerumani]]. [[Makao makuu]] yapo mjini [[Wolfsburg]] katika [[Majimbo ya Ujerumani|jimbo la]] [[Saksonia Chini]] lakini ina [[viwanda]] katika sehemu nyingi za Ujerumani na nchi nyingi hadi [[Afrika]], [[Asia]] na [[Amerika]].
 
Kampuni ya Volkswagen ni pia mwenye makampuni ya [[Audi]], [[Bentley]], [[Bugatti]], [[Lamborghini]], [[Seat]], [[Škoda]] na [[Scania]]. Ni kampuni kubwa ya kutengeneza [[magari]] katika [[Ulaya]] na ya [[tatu]] [[duniani]]. Imetangaza ya kwamba inalenga kuwa kampuni kubwa ya kutengeneza magari duniani kabisa.
== Takwimu za biashara ==
Mstari 100:
* [http://www.volkswagen.com Volkswagen Global]
* [http://www.volkswagen.de Volkswagen Ujerumani]
{{mbegu-uchumi}}
# REDIRECT [[jina la ukurasa la kikomo]]
 
[[Jamii:Makampuni ya Ujerumani]]
[[Jamii:Motokaa]]