Kisafishi ombwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
Kisafishi ombwe hufanya hivi kwa kutumia [[pampu]] ya [[hewa]] ambayo hufanya pahala pawe ombwe na kwa njia hii kufyonya [[vumbi]] au [[takataka]] yoyote iliyokuwa pahala panaposafishwa. Huweza kufyonza takataka na hata [[unyevu]].
 
 
Takataka au vumbi huokotwa kwa [[mfuko]] wa kisafishi ombwe. Visafishi ombwe hutumika [[Nyumba|nyumbani]] na hata kwa [[Kampuni|makampuni]] makubwamakubwa. Visafishi ombwe vya makampuni huwa kubwa na huweza kuhifadhi [[uchafu]] mwingi zaidi vikilinganishwa na vile vya nyumbani.
Line 9 ⟶ 8:
Kifaa hiki chaweza kutumia nguvu za [[umeme]] kupitia [[waya]] au hata [[betri]] ndogo.
 
== Aina za visafishi ombwe ==
Hizi ndizo aina za visafishi ombwe:
Visafishi* za kusafisha pahali paliporowa maji (wet/dry): visafishi hivi hutumika kusafisha pahala paliporowa maji au kwenye kuna unyevu uliomwagika.
 
Hivi* za kushikwa kwa mkono (handheld): hivi ni visafishi vidogo vinavyoweza kushikwa kwa [[mkono]]. Hutumika kusafishi mahala padogo na hutumia betri dogo. Baada ya kusafisha ni vizuri kuhakikisha kwamba kisafishi hiki kimetolewa uchafu kisije kikaanza kunuka.
'''Za kusafisha pahali paliporowa maji(wet/dry)'''
Kisafishi* za kubebea mgongoni (backpack): kisafishi hiki huwa si kikubwa sana na kina mishipi ya kumwezesha mtu kukibeba kwa nyuma ili aweze kutembea nacho.
 
Kisafishi* kisafishi roboti (robotic): kisafishi hiki huweza kunadhifu mahala bila kudhibitiwa na mtu na ndio maana chaitwa kisafishi roboti.
Visafishi hivi hutumika kusafisha pahala paliporowa maji au kwenye kuna unyevu uliomwagika.
Badala* kisafishi saikloni (cyclonic): badala ya kutumia vichungi kama visafishi ombwe vya kawaida, kisafishi hiki husafisha mahala kwa kutumia mbinu ya saikloni. Hewa huzungushwa kwa pahala palipo na uchafu na kuugawanya na baadaye kuchukua uchafu.
 
'''Za kushikwa kwa mkono(handheld)'''
 
Hivi ni visafishi vidogo vinavyoweza kushikwa kwa mkono. Hutumika kusafishi mahala padogo na hutumia betri dogo. Baada ya kusafisha ni vizuri kuhakikisha kwamba kisafishi hiki kimetolewa uchafu kisije kikaanza kunuka.
 
'''Za kubebea mgongoni(backpack)'''
 
Kisafishi hiki huwa si kikubwa sana na kina mishipi ya kumwezesha mtu kukibeba kwa nyuma ili aweze kutembea nacho.
 
'''Kisafishi roboti(robotic)'''
 
Kisafishi hiki huweza kunadhifu mahala bila kudhibitiwa na mtu na ndio maana chaitwa kisafishi roboti.
 
'''Kisafishi saikloni(cyclonic)'''
 
Badala ya kutumia vichungi kama visafishi ombwe vya kawaida, kisafishi hiki husafisha mahala kwa kutumia mbinu ya saikloni. Hewa huzungushwa kwa pahala palipo na uchafu na kuugawanya na baadaye kuchukua uchafu.
 
== Viungo vya nje ==