Kofia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|Kofia za kike. thumb|upright=0.7|Kofia ya tarabushi. '''Kofia''' ni vazi la kichwani lenye ...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Many hats.jpg|right|thumb|Kofia za kike.]]
[[File:Fes.jpg|thumb|upright=0.7|Kofia ya tarabushi.]]
'''Kofia''' ni [[vazi]] la [[Kichwa|kichwani]] lenye [[umbo]] la [[kikapu]] na ukubwa unaomfaa mhusika.
 
==Aina za kofia maarufu Afrika Mashariki==
*Kofia ya [[baraghashia]]: ni ya [[vitambaa]] na ina vitundu vingi [[udarizi|vinavyodariziwa]] kwa kufumwa na [[uzi]] wa [[rangi]] ya [[fedha]]. [[Jina]] lake linatokana na jina la [[sultani]] Bargashi[[Barghash aliyeliingizabin Said wa Zanzibar]] aliyeliingiza [[Unguja]] kwa mara ya kwanza.
*Kofia ya [[chepeo]] ina upeto unaofunika sehemu ya mbele
*Kofia ya [[kazi]] / kofia ya [[bulibuli]] ni [[nyeupe]] na imedariziwa
*Kofia ya [[pama]] ina ukingo mpana unaozunguka pande zote kama kinga dhidi ya ukali wa [[jua]]
*Kofia ya [[topi]] haina chepeo na kwa kawaida huvaliwa na [[wanawake]]
*Kofia ya tunga / [[tarabushi]] ni ya [[duara]], ya rangi [[nyekundu]] na ina tarabushi upande wa nyuma
 
{{mbegu-utamaduni}}