Kelechi Iheanacho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kelechi Ahadi Iheanacho''' (alizaliwa 3 Oktoba 1996) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambaye anacheza katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Leicester...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kelechi Ahadi Iheanacho''' (alizaliwa [[3 Oktoba]] [[1996]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Nigeria]] ambaye anacheza katika [[klabu]] ya Ligi Kuu ya [[Uingereza]] iitwayo Leicester na [[timu ya taifa]] ya Nigeria.
 
Amecheza mechi akiwa na klabu ya Manchester City, pamoja na kikosi cha Nigeria ambacho kilishinda Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 17 na 2013 na timu ya taifa ya Nigeria chini ya miaka 20 katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 mwaka 2015.
 
Iheanacho aliitwa hadi kikosi kikuu cha Manchester City kwa msimu wa 2015-16.
 
{{mbegu-cheza-mpira}}
[[Jamii:waliozaliwa 1996]]
 
[[Jamii:watu walio hai]]
[[Jamii:waliozaliwaWachezaji 1996mpira wa Nigeria]]