Loki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
masahihisho |
||
Mstari 1:
{{futa}}
'''Loki''' ni mungu mmojawapo katika masimulizi ya mitholojia ya [[Skandinavia]] ya kale au kwa lugha nyingine [[mitholojia]] ya mataifa ya [[Wagermanik|Wagermanik ya Kaskazini]].
Katika mitholojia haya alikuwa mwana wa majitu wawili aliyepokelewa katika nasaba ya miungu ya Asgard. Alikuwa na uwezo wa kutokea kwa maumbo tofautitofauti, mara kama samaki, mara kama inzi. Alikuwa na akili kubwa na pamoja na uwezo wake wa kubadilisha umbo alipata sifa kama kielelezo wa ushabaki na hila. Alisemekana pia kuwa mzazi wa madubwana mbalimbali.
Mwishoni alisababisha kifo cha mungu Balder mwana wa miungu mikuu Odin na Frigga. Hivyo alijipatia uadui wa miungu wengine wa Asgard wanaofaulu kumshinda na kumwua.
Katika fasihi ya kisasa Loki ni mhusika katika katuni za [[Marvel Comics]] pamoja filamu zao.
|