Loki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[file:Processed SAM loki.jpg|250px|thumb|Loki kwenye muswada
'''Loki''' ni [[mungu]] mmojawapo katika masimulizi ya [[mitholojia]] ya [[Skandinavia]] ya kale au kwa [[lugha]] nyingine [[mitholojia]] ya mataifa ya [[Wagermanik|Wagermanik ya Kaskazini]].
Katika mitholojia
Mwishoni alisababisha [[kifo]] cha mungu Balder mwana wa miungu mikuu Odin na Frigga. Hivyo alijipatia uadui wa miungu wengine wa Asgard
Katika [[fasihi]] ya kisasa Loki ni [[mhusika]] katika [[katuni]] za [[Marvel Comics]] pamoja na [[filamu]] zao.
{{mbegu}}
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Mitholojia]]
|