Kiwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 14:
Zipo nchi zenye viwanda vingi zaidi; nchi yenye viwanda vingi ni nchi tajiri, kwa mfano [[Japani]]. Viwanda vyake ni vya kutengeneza bidhaa kubwa na nzito zaidi, kama vile [[meli]], [[Ndege (uanahewa)|ndege]], [[treni]], magari n.k.
 
==Faida na hasara==
Kila nchi ina viwanda mbalimbali. Viwanda hivyo huisaidia nchi hiyo pindi iuzapo bidhaa hizo, pia huisaidia nchi husika kunufaika kiuchumi kwa uwepo wa viwanda hivyo.