Madawa ya kulevya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 11:
== Ulevi wa madawa ya kulevya ==
Dawa za kulevya hutumiwa kwa jia mingi ikiwemo kuvuta kama sigara na bangi, kukula kama peremende, kumeza kama tembe, kunusia hasa zile dawa za kulevya unga unga, kukunywa kwa zile dawa za kulevya maji maji, au kutafuna na kumeza maji yake kisha kutupa mabaki kama vile miraa. Dawa zingine hutimiwa kwa jia ya kupikia chakula au vinywaji kama viungo, kujindunga sidano na kupumua mivuke yake ijulikanayo kwa [[lugha]] za [[Msimu (lugha)|kimsimu]] kama "dabbing". Utumizi wa madawa ya kulevya hufanya mtumiaji alewe na ajisikie huru au kuwa upeo mwingine kuliko wa kawaida. Katika [[lugha]] za [[Msimu (lugha)|kimsimu]] huitwa kuwa ‘high’ au ‘stoned’. Hali hii humfanya mtu awe mtovu wa [[nidhamu]] au kufanya mambo ambayo hata mwenyewe atashtuka baadaye akiwa hajatumia madawa.
Pia utumizi huu huathiri mtu [[Afya|kiafya]]. Kwa mfano ukitumia bangi, utapata kwamba [[moyo]] wako wadunda haraka kuliko kawaida, [[kinywa]] chako chakauka, [[macho]] kuwa mekundu, kusahau kwa haraka na kupata uchu mkubwa wa [[chakula]]. Uvutaji wa bangi pia huathiri [[mapafu]], [[ini]] na [[ubongo]] kufikia hata kuwa [[mwendawazimu]].
Mstari 23:
== Matibabu baada ya uraibu wa madawa ya kulevya ==
Walioathirika na utumizi wa madawa ya kulevya huweza kunasuliwa kutoka [[uraibu]] ule katika vituo maalumu. Huku, wao huonyeshwa jinsi ya kuishi bila kutumia madawa. Pia wanapewa dawa nyingine zinazowasaidia waache uchu wa madawa ya kulevya.
== Tanbihi ==
{{Reflist}}
== Viungo vya nje ==
|