Luis Figo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Luis Figo'''(alizaliwa 4 Novemba 1972)ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ureno na klabu za FC Barcelona,Real M...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Luis Figo'''(alizaliwa [[4 Novemba 1972]])ni [[mchezaji]] wa zamani wa [[mpira wa miguu]] wa timu ya taifa ya [[Ureno]] na klabu za [[FC Barcelona]],[[Real Madrid]] za nchini [[Uhispania]] na [[Inter Milan]] ya nchini [[Italia]].

Figo alijiunga na [[Barcelona]] akitokea timu ya klabu ya [[Sporting CP]] ya nchini [[Ureno]] mwaka [[1995]] na kufanikiwa kuchukua kombe la [[UEFA]] la mwaka [[1997]].

Mwaka [[2000]] Figo alisajiliwa na klabu ya [[Real Madrid]] kwa ada ya paundi milioni 62 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa [[Florentino Pérez]] wakati alipokuwa anagombea [[urais]] wa klabu ya [[Real Madrid]].Mpaka sasa Figo huitwa [[msaliti]] na mashabiki wa klabu ya [[Barcelona]].

Mwaka [[2001]] Figo alifanikiwa kuchukua kombela [[LA LIGA]] na kufanikiwa kuwa mchezaji bora wa mwaka.Mwaka [[2005]] alihamia klabu ya [[Inter Milan]] kwauhamisho huru nakucheza kwenye klabu hiyo mpaka [[2009]] na kustaafu [[soka]] la ushindani.
[[Picha:Luis Figo-2009.jpg|thumb|252x252px|Luis Figo]]