Kampuni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
 
Biashara pia inaweza kuanzishwa bila kusudi la [[kupata faida]] au [[biashara inayomilikiwa na serikali]].
 
==Kampuni za Africa Mashariki==
 
* '''Nation Media Group (NMG)'''
[[File:Nation Center.jpg|thumb| ]]
'''Nation Media Group (NMG)''' ni kundi la vyombo vya habari vya Kenya lililoorodheshwa kwenye [[Soko la Hisa la Nairobi]].<ref>http://stockskenya.com/newsite/stkprofiler.aspx?stkId=10</ref> NMG ilianzishwa na [[Aga Khan IV]] mwaka wa 1959 na ndilo shirika kubwa la binafsi la vyombo vya habari katika Afrika Mashariki na Kati na lina maofisi nchini Kenya, [[Uganda]] na [[Tanzania]].<ref>http://www.nation.co.ke/meta/-/1194/1172/-/ojmv8c/-/index.html</ref> Mwaka wa 1999, NMG ilianzisha [[NTV]], kituo cha habari nchini Uganda, na [[Easy FM]].<ref>http://www.nation.co.ke/meta/-/1194/1172/-/ojmv8c/-/index.html</ref>
 
* '''Tanganyika Loyality'''
 
* '''Africa Safari Air (ASA)'''
 
==Tanbihi==