Tofauti kati ya marekesbisho "Mkoa wa Haut-Ogooué"

3 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
svg version (GlobalReplace v0.6.5)
d (Bot: Migrating 25 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q654438 (translate me))
(svg version (GlobalReplace v0.6.5))
[[Image:Gabon - Haut-OgooueOgooué.pngsvg|right|175px|Haut-Ogooué Province]]
'''Haut-Ogooué''' ni moja kati ya [[Mikoa ya Gabon|mikoa]] tisa nchini [[Gabon]]. Mkoa umepewa jina baada ya [[Mto Ogooué]]. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 36,547. Mji mkuu wa mkoa huu ni [[Franceville]]. Miongoni mwa viwanda vyake vikubwa ni pamoja na machimbo ya madini, pamoja na [[manganisi]], [[dhahabu]] na [[urani]] nazo zinapatikana kwenye mkoa huu. Hapa ni nyumbani pa kihistoria kwa tamaduni tatu, kina [[Obamba]], [[Ndzabi]] na [[Téké]]. Kama jinsi ilivyo mikoa mingi katika Afrika, matumizi mengi ya jadi katika ardhi yametupiliwa mbali na kukaribisha ujenzi wa miji mikubwa vijijini.<ref>[http://www.masuku.org/HO.html matumizi mengi ya jadi katika ardhi yametupiliwa mbali na kukaribisha ujenzi wa miji mikubwa vijijini]</ref> Mnamo mwezi wa Agosti 2006, klabu yake [[soka]] imeshinda [[Kombe la Uhuru la Gabon]].<ref>[http://www.panapress.com/newslatf.asp?code=eng001452&dte=17/08/2006 Pan Express Yanyakua Kombe la Uhuru la Gabon]</ref>
 
103

edits