Viwakilishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Fixed typo
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 8:
'''Kiwakilishi''' (pia: '''viwakilishi''') ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino. Maneno hayo (viwakilishi) hutumika pale tu ambapo nomino haipo au haikutajwa huenda kwa kuwa imekwisha-tajwa hapo awali au inafahamika katika mazingira husika.
Mfano:
*'''HiliHizi''' zimeiva
*''Chake''' kimeliwa
*'''Mimi''' ni mwalimu
Mstari 14:
*'''Aliyegongwa''' amepona
 
Wakati mwingine watu hawataji waziwazi majina ya watu wazo, hali au vitu fulani ambavyo wamekwisha-vizungumza/vitaja hapo awali au vinafahamika katika mazingira husika badala yake hutumika maneno mengine kuwakilisha - kusimama badala ya (majina hayo ambayo hawakuyataja) - maneno hayo ndiyo huitwa viwakilishi.
 
==Orodha ya viwakilishi==
#[[Viwakilishi vya sifa]]