Wikipedia:Sanduku la mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
Akiwa miaka sita aliponea chupu chupu kutekwa nyara na [[waasi]] wa kivita na mda mfupi baadaye alikimbilia Marekani kama [[mkimbizi]] asiye na kibali. Alikimbilia Jacksonville na kuungana na baadhi ya wanafamilia wake waliokuwa wamemtangulia na kujiunga na shule za marekani.<ref name=":2" />
 
Shuleni MB Salone alikuwa na wakati mgumu na hakuhitimu mitihani yake. Mara kwa mara alijipata taambani tokana na uchechi wake na utovu wa nidhamu uliochangia pakubwa kufeli mitihani.<ref name=":4" /> Akiwa darasa la saba unga ulizidi maji na akatiwa mbaroni alipoiba duka la Target [[Jacksonville, Florida]] Shauku yake ya muziki ilikuwa inakita mizizi na mwaka wa 2007 akiwa shule ya upili ya Wolfson mle Jacksonville Florida alikuwa ashaanza kutengeneza mindondo ya R&B and Trap. Kwa bahati mbaya uundaji wa midundo ulikuwa unachukua muda wake mwingi na masomo yake shuleni yaliendelea kudidimia na hatimaye alifukuzwa shuleni akiwa mwaka wake wa mwisho kwa kutohudhuiakutohudhuria darasa mara mingi. MB Salone alibahatika kurudi shuleni na mwaka wa 2014 akajiunga na chuo cha kiufundi cha wanajamii ya Prince Georges ([[Prince George's Community College]]) iliyoko Largo, katika [[Prince George's|kaunti ya Prince George's]], [[Maryland]] . Alifuzu programu ya GED na akapata stashahada yake mwaka wa 2015.<ref name=":2" />
 
== Utayarishaji Rekodi ==