95,243
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
[[File:Anglo - Viking Key, Circa 900AD.JPG|thumb|Ufunguo wa [[Waviking]] wa [[Uingereza]] ([[900]] hivi [[BK]])]]
[[File:Kathmandu-05.JPG|thumb|Kufuli za [[karne za kati]] huko [[Kathmandu]] ([[Nepal]]).]]
'''Ufunguo''' (kutoka [[kitenzi]] "kufunga", kinyume chake "kufungua") ni [[kifaa]] kinachotumika kufungulia au kufungia [[mlango]]
Kwa sababu hiyo, mara nyingi huchukuliwa kama [[ishara]] ya kumiliki [[nyumba]], [[sanduku]] n.k. Mwambatanisho wa kufuli na ufunguo huchangia katika [[ulinzi]] kwa maana ni mwenye ufunguo peke yake anayeweza kufungua [[kitasa]] au kufuli.
== Historia ya ufunguo ==
[[Historia]] ya ufunguo
Baada ya mfumo huu wa ulinzi kuitikiwa na wote, [[uvumbuzi]] uliendelezwa na [[teknolojia]] pia kutumika katika kuboresha kufuli na funguo.
== Funguo za kisasa ==
[[Picha:Standard-lock-key.jpg|250px|thumb|Ufunguo wa kawaida wa kisasa.]]
Funguo za leo zina ulinzi mwingi kuliko ule wa zamani. [[mwizi|Wezi]] waliweza kufungua na kuingia kwenye [[nyumba]] za kufuli za kitambo maana zilitengenezwa kwa teknolojia dhaifu.
Hivi leo, teknolojia ni nzuri na ni vigumu (hata kama bado itafanyika) kufungua kufuli kwa ufunguo usiodhaminiwa kufanya hivyo. Pia kuna teknolojia ambayo inazuia mtu kutengeneza nakala ya ufunguo bila ruhusa ya mwenye ufunguo. <ref>[https://www.locksmith.id.au/restricted-key-system/ - Restricted Master Key]</ref>
Pia kumekuwa na kufuli zisizohitaji ufunguo wa kawaida bali tu kubofya
Kuna milango pia ambayo hufunguliwa kwa njia ya [[Elektroniki|kieletroniki]] baada ya kutambua anayejaribu kufungua.
* [https://snorezing.com/best-electronic-deadbolt-locks/ Best Keyless door locks]
{{
[[Jamii:
|