Orange Democratic Movement : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
|website = [http://www.odm07.com/ http://www.odm07.com/]
}}
'''Orange Democratic Movement (ODM)''' au kwa ([[jina]] kamili: '''Orange Democratic Movement Party of Kenya''' ni [[chama cha kisiasa]] nchini [[Kenya]]. Kilianzishwa mwaka [[2006]] katika maandalizi ya [[uchaguzi]] wa [[bunge la Kenya]] wa mwaka [[2007]], lakini [[asili]] yake ni harakati za [[kura]] juu ya [[katiba mpya]] nchini Kenya ambayo ilianzishwa mwaka [[2005]] katikakwa ajili ya [[kura ya maoni ya katiba ya Kenya]]. ODM ilianzishwa na chama cha [[Uhuru Kenyatta]], [[KANU]] na chama cha Raila Odinga, [[LDP,]] lakini chama cha KANU kiliweza kujiondoa, na makundi haya mawili yanaongozwa na [[Raila Odinga]] (ODM) na [[Kalonzo Musyoka]] (ODM-Kenya).
 
ODM ilianzishwa na chama cha [[Uhuru Kenyatta]], [[KANU]] na chama cha [[Raila Odinga]], [[LDP]], lakini chama cha KANU kiliweza kujiondoa, na waliobaki waligawanyika katika makundi haya mawili yanayoongozwa na [[Raila Odinga]] (ODM; ndio wengi zaidi) na [[Kalonzo Musyoka]] (ODM-Kenya). Sababu ya [[farakano]] ilikuwa suala la nani atakuwa [[mgombea]] wa [[urais]] upande wa ODM.
Katika Agosti 2007 chama kilifarakana kati ya wafuasi wa [[Kalonzo Musyoka]] aliyeendelea kwa [[ODM-Kenya]] na maungano ya viongozi wengi zaidi pamoja na [[Raila Odinga]] walioendelea kama ODM. Sababu ya farakano ilikuwa suala la nani atakuwa mgombea wa urais upande wa ODM. Vyama hivi viwili ni '''Orange Democratic Movement Party of Kenya''' (kwa kawaida inajulikana kwa [[kifupi]] chake '''ODM),''' na [[Orange Democratic Movement-Kenya]] (inayojulikana kama ODM-Kenya).
 
==Jina==
Asili ya Jinajina "chungwa" ni kutoka [[kadi ya kura]] katika kura ya maoni, ambapo kura ya kukubaliana ('Yes') iliwakilishwa na [[ndizi]] na kura ya kutokubaliana ('No') ilikuwa [[machungwa.chungwa]]. Kwa hivyo wenye kudai chama ni wale ambao hawakuunga mkono maoni wakati huo.
 
==Chanzo ni kambiKambi la machungwa katika kura ya katiba mpya==
Chanzo cha ODM ilikuwa kura maalumu ya wananchi ya 2005 kuhusu katiba mpya. Katiba ilipendekezwa na rais [[Mwai Kibaki]] na wafuasi wake. Wabunge wa [[LDP (Kenya)|LDP]] walipinga pendekezo la katiba pamoja na chama cha upinzani cha [[KANU]] chini ya [[Uhuru Kenyatta]]. Pande mbili katika kura hii zilipewa alama za ndizi (kambi ya "ndiyo") na chungwa (kambi ya "hapana").
 
[[LDP (Kenya)|LDP]] na [[KANU]] zilishirikiana pamoja na vyama vingine kama [[NPK]] ya [[Charity Ngilu]] katika kambi ya machungwachungwa. Baada ya katiba kukataliwa na wananchi katika kura maalumu Kibaki aliondoa wafuasi waotewote wa kambi la machungwachungwa katika [[serikali]] yake.
 
== Kura ya maoni juu ya katiba ==