Ninawi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Nineveh map city walls & gates.JPG|thumb|right|Ramani ya Ninawi ikionyesha ngome ya mji huo wa kale pamoja na malango yake.]]
'''Ninawi''' (kwa [[Kiakadi]]: ''Ninwe''; kwa [[Kiashuru]]: ܢܸܢܘܵܐ; kwa [[Kiebrania]] נינוה , ''Nīnewē''; kwa [[Kigiriki]] Νινευη, ''Nineuē''; kwa [[Kiarabu:]] نينوى, ''Naīnuwa'') ulikuwa [[mji mkuu]] wa [[Waashuru]] upande wa [[mashariki]] wa [[mto]] [[Tigri]].
 
[[Magofu]] yake yako ng'ambo wa mto huo ukitokea [[Mosul]] ([[Iraki]]).
 
Katika [[Biblia]] ni maarufu hasa kutokana na habari zinazopatikana katika [[kitabu cha Yona]] na zilizotumiwa na [[Yesu]] kuhimiza [[toba]].
 
[[Mji]] huu ulikuwa ni mji mkubwa kuliko yote [[duniani]] kwa miaka [[hamsini]] hadi [[mwaka]] [[612 KK]] uliposhindwa na [[Wababuloni]].<ref>{{cite web|author=Matt T. Rosenberg|url=http://geography.about.com/library/weekly/aa011201a.htm|title=Largest Cities Through History|publisher=geography.about.com|accessdate=6 May 2013}}</ref>
 
.
==MarejeoTanbihi==
{{Marejeo}}
 
Mstari 38:
* [http://books.google.se/books?id=llVFb6qLmsgC Austen Henry Layard - Nineveh and Its Remains] full book readable
 
{{Mbegu-jio}}
 
[[Jamii:IrakiMiji ya Iraq]]
[[Jamii:Miji ya Biblia]]