Somalia ya Kiingereza : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
svg version (GlobalReplace v0.6.5) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Somaliland in its region (de-facto).svg|thumb|300px|Mahali pa Somalia ya Kiingereza]]
'''Somalia ya Kiingereza''' (kwa [[Kiingereza]]: '''British Somaliland''') ilikuwa [[eneo lindwa]] la [[Uingereza]] katika [[Somalia]] ya Kaskazini.
==
===Koloni mwaka 1884/1885 Uingereza uliingia katika eneo hili baada ya [[Misri]] kuondoka mwaka [[1885]]
Somaliland ilitawaliwa awali kama [[mkoa]] wa [[Uhindi wa Kiingereza]] ikawa baadaye chini ya [[wizara ya
==
Hata kama Uingereza haukuwa na nia ya kuingilia mno
Mwishowe Uingereza iliweza kumaliza upinzani kwa [[teknolojia]] mpya ya [[eropleni]] [[ndege za kijeshi|za kijeshi]] zilizotumia [[mabomu]] na [[bunduki za mtombo]] kutoka [[Anga|angani]] kwa mara ya kwanza katika [[Afrika]].
==
Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia eneo likatwaliwa na Italia katika Agosti 1940 lakini kuchukuliwa tena na Uingereza katika Machi 1941.▼
===Uhuru na muungano===
Uhuru ulifika [[26 Juni]] [[1960]]. Tar. 1 Julai kulitokea muungano na [[Somalia ya Kiitalia]] iliyopokea uhuru wake pia.▼
▲Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] eneo likatwaliwa na [[Italia]] katika [[Agosti]] [[1940]] lakini
▲[[Uhuru]]
== Nchi ya pekee ==▼
Baada ya kuporomoka kwa serikali ya Somalia eneo la Somalia ya Kiingereza la awali likatangaza uhuru wake Mei 1991 kama Jamhuri ya Somaliland.▼
▲=== Nchi ya pekee ===
▲Baada ya kuporomoka kwa [[serikali]] ya [[Somalia]], sehemu kubwa ya eneo la Somalia ya Kiingereza la awali
[[Jamii:Historia ya Somalia]]
|