'''Nasaba ya akina Theodosius''' ilikuwa nasaba ya [[Orodha ya MakaisariMakaizari wa Roma|MakaisariMakaizari wa Roma]]. Ilianzia mwaka wa [[379]] na [[Theodosius Mkuu]]. Iliendelea na wana wake [[KaisariKaizari Honorius|Honorius]] katika [[Dola la Roma Magharibi]], na [[Arcadius]] katika [[Ufalme wa Byzantini]].