Vincent Janssen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Vincent Janssen|thumb|Vincent Janssen '''Vincent Petrus Anna Sebastiaan Janssen''' (aliyezaliwa Juni 15, 1994) n...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:48, 25 Agosti 2018

Vincent Petrus Anna Sebastiaan Janssen (aliyezaliwa Juni 15, 1994) ni mchezaji wa Uholanzi mtaalam wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Uingereza ya Ligi Kuu Tottenham Hotspurs na timu ya kitaifa ya Uholanzi. Alipewa tuzo ya 2016 Johan Cruyff Trophy, tuzo ya Uholanzi ya "Talent of the year".

Vincent Janssen
Vincent Janssen
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent Janssen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.