Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
namna ya kutaja vyanzo
Mstari 42:
</div>
<div style="clear:both"></div>
 
==Namna ya kutaja vyanzo==
*Kutaja '''marejeo katika kitabu''': Utataja jina la mwandishi, jina la kitabu, mwaka wa kuchapishwa na mahali pake, kampuni ya kuchapisha, ukurasa au kurasa penye habari unazorejelea
*Kutaja '''marejeo katika gazeti au jarida''': utataja jina la mwandishi (kama lipo), kichwa cha makala, jina la gazeti/Jarida, tarehe yake
* Kutaja '''marejeo kutoka intaneti''': utataja jina la mwandishi (kama lipo), kichwa cha makala, jina la tovuti, tarehe yake, unaongeza tarehe ulipoangalia tovuti, URL (=anwani ya intaneti). Huwezi kutumia tovuti yoyote. Facebook, twitter na "social media" kwa jumla si vyanzo vinavyofaa kuunda umaarufu au umuhimu wa habari.
 
[[Jamii:mwongozo wa Wikipedia|*5]]