Marcian : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|right|Kaizari Markian '''Markian''' (3962 Januari, 457) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka wa 450, alipom...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:32, 7 Januari 2008

Markian (3962 Januari, 457) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka wa 450, alipomwoa Pulcheria, dada wa marehemu Kaizari Theodosius II, hadi kifo chake. Alifuatiliwa na Leo I.

Faili:Marcian.JPG
Kaizari Markian

Tazamia pia