Jamhuri ya Watu wa China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 63:
Kuna pwani ndefu ya [[Bahari ya Kusini ya China]] na [[Bahari ya Mashariki ya China]] ambazo ni [[bahari ya kando]] ya [[Pasifiki]].
 
China kuna ma[[kabila]] tofauti 56 tofauti. Walio wengi (92%) ni [[Wahan]] dilo kabila kubwa zaidi nchini China kwa idadi ya watu ikiwa na asilimia 92. [[Lugha rasmi]] ni [[Kichina]] cha [[Mandarin]] kinachotumiwa na [[asilimia]] 70 za wananchi.
 
[[Siasa]] inatawaliwa na [[chama cha kikomunisti]].