Jamhuri ya Watu wa China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 74:
 
== Jiografia ==
China ina eneo la [[kilomita za mraba]] milioni 9.6 hivyo ni nchi kubwa ya tatu au ya nne <ref>Baada ya Urusi na Kanada ambazo ni nchi mbili kubwa zaidi, China na [[Marekani]] ni karibu sawa; kama maeneo yanayodaiwa na China bila kukubaliwa na majirani yanahesabiwa mle basi China ni kubwa kidogo kuliko Marekani</ref> kwa ukubwa duniani.
 
Sura ya nchi inaonyesha tabia tofautitofauti.