Boma la Kale, Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
==Kuimarishwa wakati wa Vita ya Abushiri==
Baada ya kifo cha Sayyid Majid alifuatwa na Sayyid Barghash ambaye hakupenda kuendelea na mradi wa makao mapya. Majengo yalikaa tu. Mwaka 1888 sultani mpya Sayyid Khalifa aliamua kukodi mamlaka juu ya pwani la Tanganyika kwa [[Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]]. Kampuni ilinunua majengo ya sultani ya Dar es Salaam pamoja na Boma la Kale na kuyatumia kama ofisi na makazi. Mwaka uliofuata wenyeji wa pwani walipinga majarabio ya kampuni hii kuchukua mamlaka ya kiutawala mkononi mwake. Katika [[Vita ya Abushiri]] vituo vya Wajerumani vilishambuliwa mahali pengi kuanzia Septemba 1888. Baada ya kupokea habari hizi kwenye kituo cha Dar es Salaam nyumba hii iliunganishwa kwa ukuta pamoja na jengo jirani na hivyo kuimarishwa kuwa ngome. Kuanzia mwezi wa Desemba 1888 kulikuwa na mashambulio dhidi Dar es Salaam.<ref>H.F. von Behr, Kriegsbilder aus dem Araberaufstand in Deutsch-Ostafrika, Leipzig 1891, uk 99 ([https://archive.org/details/kriegsbilderausd00behruoft online hapa kwenye archive.org])</ref>. Katika boma hili Wajerumani waliweza kujitetea kwa msaada wa wanamaji kutoka manowari [[HMSSMS Möwe]] hadi kufika kwa [[Schutztruppe|jeshi la kikoloni la Schutztruppe]] kwenye Mei 1889.
 
==Matumizi ya kiofisi wakati wa ukoloni==