Fiqhi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' Hukumu za ibada zinawepesishwa kwa Waislamu kwa njia ya elimu kwa kutumia njia za kisasa.Insaiklopidia ya Fiqhi imeambatanishwa,fiqhi katika lugha ya kiarabu...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
{{Uislamu}}
'''Fiqhi''' ([[ar.]] '''الِفقه''' ''al-fiqah'')ni elimu ya sheria ya Kiislamu. Waislamu huamini ya kwamba Mungu alifunulia sheria zake kwa binadamu katika [[Kurani]] na [[Sunna]] yaani maneno na matendo ya [[Mtume Mohamed]]. Fiqhi ni juhudi ya wataalamu kati ya waumini kueleza maana ya kanuni zake na kujadili jinsi ya kuzitumia katika mazingira mbalimbali ambako Waislamu wanaishi.
Elimu hii inaendelea kukua kwa njia ya maswali yanayopelekwa mbele ya mtaalamu na maazimio yake ([[fatwa]]).
[https://www.al-feqh.com/sw/category/hijja hijja:]▼
==Marejeo==
*[https://www.sistani.org/english/ Maelezo ya fiqhi ya Kishia (Ayatollah Sistani)]
[[Jamii:Uislamu]]
|