Fiqhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{UislamuIslam}}
'''Fiqhi''' ([[ar.]] '''الِفقه''' ''al-fiqah'')ni elimu ya sheria ya Kiislamu. Waislamu huamini ya kwamba Mungu alifunulia sheria zake kwa binadamu katika [[Kurani]] na [[Sunna]] yaani maneno na matendo ya [[Mtume Mohamed]]. Fiqhi ni juhudi ya wataalamu kati ya waumini kueleza maana ya kanuni zake na kujadili jinsi ya kuzitumia katika mazingira mbalimbali ambako Waislamu wanaishi.