Sarafu ya Bit : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Sarafu ya Bit''' (kwa [[Kiingereza]]: Bitcoin) ni mfumo wa [[malipo]] [[dijitali]] ambao unatumiwa na [[milioni|mamilioni]] ya [[watu]] bila [[msimamizi]] wa juu kama [[Benki Kuu]] ilivyo katika nchi mbalimbali. [[Sarafu]] hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, [[bidhaa]] au [[huduma]].
 
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya [[jina]] la [[Satoshi Nakamoto]] <ref name="whoissn">{{cite news |url = https://www.economist.com/blogs/economist-explains/2015/11/economist-explains-1 |title = Who is Satoshi Nakamoto? |last1 = S. |first1 = L. |date = 2 November 2015 |work = The Economist |accessdate = 23 September 2016 |archiveurl = https://web.archive.org/web/20160821154511/http://www.economist.com/blogs/economist-explains/2015/11/economist-explains-1 |archivedate = 21 August 2016 |deadurl = no |publisher = The Economist Newspaper Limited |df = dmy-all }}</ref> and released as [[open-source software]] in 2009.<ref name="NY2011">{{cite web |last = Davis |first = Joshua |title = The Crypto-Currency: Bitcoin and its mysterious inventor |url = http://www.newyorker.com/magazine/2011/10/10/the-crypto-currency |work = The New Yorker |date = 10 October 2011 |accessdate = 31 October 2014 |deadurl = no |archiveurl = https://web.archive.org/web/20141101014157/http://www.newyorker.com/magazine/2011/10/10/the-crypto-currency |archivedate = 1 November 2014 |df = dmy-all }}</ref> na kutolewa kama [[programu huria]] [[mwaka]] [[2009]]. Kuanzia [[Februari]] [[2015]], [[wafanyabiashara]] zaidi ya 100,000 wanakubali bitcoinSarafu ya Bit kama malipo.
 
Kwa mujibu wa [[utafiti]] wa [[Chuo Kikuu cha Cambridge]] wa mwaka [[2017]], kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit. <ref>[https://www.jbs.cam.ac.uk/fileadmin/user_upload/research/centres/alternative-finance/downloads/2017-global-cryptocurrency-benchmarking-study.pdf Global Cryptocurrency Benchmarking Study]</ref>