Zuhura : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 27:
[[Warusi]] na [[Wamarekani]] walifaulu kupeleka [[vipimaanga]] mbalimbali hadi Zuhura, vingine vilipita na kupima [[hewa]], vingine vilifika kwenye sura ya sayari na kutuma [[picha]] za [[mazingira]] hadi kuharibika kutokana na joto kali.
 
Uso wa sayari umefanyiwa [[utafiti]] kwa msaada wa [[rada]] kutoka vipimaanga [[Magellan (kipimaanga)|Magellan]] na [[Pioneer-Venus]]. Kutokana na matokeo yake [[ramani]] ya kwanza ilitokea. Sehemu kubwa ya sayari ni [[tambarare]] yenye vilima na mabonde yasiyo marefu. Kutokana na joto kubwa (mnamo 500[[°C]] 500) hakuna [[maji]] wala [[bahari]].
[[Picha:Venus map with labels.jpg|350px|thumb|Ramani hii ya Zuhura imepatikana kutokana na vipimo vya rada; rangi ya buluu huonyehsa maeneo yaliyo karibu na uwiano wa wastani wa sayari; ]]
Kuna sehemu mbili ambako [[nyanda za juu]] zinapanda juu ya uwiano wa kawaida na hizi zilifananishwa na [[kontinenti]] za Dunia. Karibu na [[ikweta]] ya Zuhura iko sehemu inayoitwa "Aphrodite Terra" yenye ukubwa kama [[Amerika Kusini]]. Kwenye upande wa [[mashariki]] kuna [[safu za milima]] na mabonde makubwa pamoja na [[volkeno]]. Sehemu ya pili huitwa "Ishtar Terra" yenye ukubwa sawa na [[Australia]] kwenye Dunia. Hapa kuna [[milima ya Maxwell]] yenye urefu wa [[mita]] 10.800 juu ya uwiano wa wastani.
 
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==MarejeoViungo yavya Njenje==
{{Commons category}}
*[http://www.daviddarling.info/encyclopedia/V/Venus.html D. Darling, Encyclopedia of Astrobiology, Astronomy, and Spaceflight]
{{Commons category}}
* [http://solarsystem.nasa.gov/planets/venus Venus profile] at NASA's Solar System Exploration site
* [http://nssdc.gsfc.nasa.gov/planetary/planets/venuspage.html Missions to Venus] and [http://nssdc.gsfc.nasa.gov/imgcat/thumbnail_pages/venus_thumbnails.html Image catalog] at the [[National Space Science Data Center]]
Line 45 ⟶ 44:
* [http://www.geody.com/?world=venus Geody Venus], a search engine for surface features
 
=== Marejeo kuhusuKuhusu ramani za Zuhura ===
* [http://www.mapaplanet.org/explorer/venus.html Map-a-Planet: Venus] by the [[U.S. Geological Survey]]
* [http://planetarynames.wr.usgs.gov/Page/VENUS/target Gazetteer of Planetary Nomenclature: Venus] by the [[International Astronomical Union]]