Ghafi ya tani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Tani GT''' ni ([[kifupi]] kwacha [[tani]] ya aina ya "'''gross tonnage'''".) Nini [[kipimo]] cha kutaja ukubwa wa [[meli]] kilichokuwa kawaida kimataifa tangu [[mwaka]] [[1982]] kufuatana na [[mapatano ya kimataifa]] kuhusu [[upimaji]] wa ukubwa wa meli (The International Convention on Tonnage Measurement of Ships) ya mwaka [[1969]]. Tani GT zilichukua nafasi ya vipimo vya awali vilivyoitwa pia [[tani]] lakini kwa [[mjao]] tofauti iliyokadiria mjao wa nafasi za [[shehena]] (mzigo) pekee.
 
Umuhimu wa tani GT ni ya kwamba [[kodi]] na [[malipo]] kwa ajili ya meli hufuata kipimo hiki kama vile kodi za kutumia mifereji ([[mfereji wa Suez|Suez]], [[mfereji wa Panama|Panama]]) au kukaa [[Bandari|bandarini]].
 
Tani GT zinataja mjao wa nafasi yote ya ndani kwenyeya meli, yaani ya kila sehemu ambayo imefungwa kwa [[Ukuta|kuta]] za pembeni, [[sitaha]] na [[Jengo|majengo]] juu ya sitaha ("the moulded volume of all enclosed spaces of the ship").
 
Lakini si mjao huu pekee yake. [[Idadi]] ya [[mita]] za mjao inazidishwa kwa [[namba]] inayotegemea ukubwa wa meli iko kati ya 0,22 na 0,32; yaani hali halisi [[asilimia]] 22 hadi 32 ya mjao inahesabiwa kuwa tani GT. Meli ndogo zinapata makadirio nafuu yaani ya asilimia 22 au karibu nayo halafu meli kubwa kubwakubwakubwa hukadiriwa kwa namba inayolingana zaidi na 32.
 
Meli yenye mjao wa [[mita za ujazo]] 10,000 inazidishwa na namba 0,28 hivyo kukadiriwa kuwa na tani GT 2,800.
[[Jamii:Vipimo sanifu vya kimataifa]]
 
[[Jamii:Uchumi]]
[[Jamii:Meli]]
 
[[de:Schiffsmaße#Brutto- und Nettoraumzahl (BRZ, NRZ)]]