Ngome ya Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Fortjesus1.JPG|thumb|Ndani ya Fort Jesus]]
[[Image:Fort Jesus.jpg|thumb|Uwanja ndani ya ngome]]
'''Ngome ya Yesu''' (Kiing.kwa [[Kiingereza]]: '''Fort Jesus''') ni [[ngome]] laya kale mjini [[Mombasa]] ([[Kenya]]). IlijengwaIko mwakakwenye [[1593kisiwa]] nacha [[msanifu]]Mombasa [[Giovanni Battista Cairato]] kwa niaba ya [[UrenoIsland|WarenoMombasa]]. Ngome iko kwenye kisiwa cha Mombasa ikitazama mlango wa [[bandari]] ya kale.
 
IlikuwaIlijengwa [[mwaka]] [[1593]] na [[msanifu]] [[Giovanni Battista Cairato]] kwa niaba ya [[Ureno|Wareno]] na ilikuwa kituo muhimu cha Wareno kwenye [[njia]] ya mawasiliano kati ya Ureno na [[Uhindi]]. [[Jahazi]] zao zilipita [[Afrika Kusini]] zikapumzika kidogo [[Msumbiji]] penye ngome kubwa ya Kireno halafu ziliendelea kupitia Mombasa na kuvuka [[bahari]] hadi Bara Hindi.
'''Ngome ya Yesu''' (Kiing.: '''Fort Jesus''') ni [[ngome]] la kale mjini [[Mombasa]] ([[Kenya]]). Ilijengwa mwaka [[1593]] na [[msanifu]] [[Giovanni Battista Cairato]] kwa niaba ya [[Ureno|Wareno]]. Ngome iko kwenye kisiwa cha Mombasa ikitazama mlango wa bandari ya kale.
 
Ilikuwa kituo muhimu cha Wareno kwenye njia ya mawasiliano kati ya Ureno na [[Uhindi]]. Jahazi zao zilipita Afrika Kusini zikapumzika kidogo Msumbiji penye ngome kubwa ya Kireno halafu ziliendelea kupitia Mombasa na kuvuka bahari hadi Bara Hindi.
 
== Historia ya ngome ==
Mabwana wa ngome walibadilishana.
 
=== Kipindi cha Kireno ===
Line 20 ⟶ 19:
 
=== Kipindi cha Kiarabu ===
Baada ya Wareno [[utawala]] wa ngome ulipiganiwa kati ya Sultani wa Omani na ma[[liwali]] wa Mombasa wa [[nasaba]] ya [[Mazrui]] waliojaribu kuendelea bila mabwana wa Omani.
 
*[[Sultani]] wa Oman: 1729 - 1741
Line 40 ⟶ 39:
*Kenya : 1963
 
Waingereza walitumia ngome kama [[gereza]]. Tangu 1958 imekuwa makumbusho ya kitaifa. Leo hii ni sehemu ya [[Makumbusho ya Kitaifa ya Kenya]].
 
Tangu mwaka [[1958]] imekuwa [[makumbusho]] ya kitaifa. Leo hii ni sehemu ya [[Makumbusho ya Kitaifa ya Kenya]].
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.africanmeccasafaris.com/kenya/mombasa/excursions/fortjesus.asp Historia ya Boma ]
 
== Viungo vya Njenje ==
* [http://www.africanmeccasafaris.com/kenya/mombasa/excursions/fortjesus.asp Historia ya Boma ]
{{mbegu-jio-KE}}
[[Jamii:Historia ya Kenya]]
[[Jamii:Mombasa]]