Miporomoko ya ardhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Miporomoko ya ardhi''' hutokea pale ambako miamba, mchanga, au vifusi vinaposonga chini kwenye mteremko. Mitiririko ya vifusi, ambayo pia huitwa mimonyoko ya udongo, ni aina inayotokea sana ya mporomoko wa ardhi inayotokea kwa kasi sana yenye mwelekeo wa mfereji.
 
==Kisababishi cha miporomoko ya ardhi na mitiririko ya vifusi==
Mstari 6:
 
==Tishio za kiafya kutokana na miporomoko ya ardhi na mitiririko ya vifusi==
 
 
Hatari za kiafya zinazohusishwa na miporomoko ya ardhi na mimonyoko ya udongo ni:
Line 27 ⟶ 26:
==Unachoweza kufanya ili kujikinga==
 
'''Kabla ya dhoruba na mvua kubwa'''
*Chukulia kuwa miteremko mikali na maeneo yaliyochomwa na mioto inayoenea kwa kasi ina uwezekano wa miporomoko ya ardhi na mitiririko ya vifusi.
*Fahamu iwapo miporomoko ya ardhi au mitiririko ya vifusi imetokea awali katika eneo lako kwa kuwasiliana na mamlaka ya eneo hilo, mtaalamu wa jiolojia wa kaunti au idara ya mipango ya kaunti, wataalamu wa kupima ramani wa kijiolojia katika nchi, au idara za jiolojia za chuo kikuu.
Line 35 ⟶ 34:
*Iwapo unaishi katika eneo lenye uwezekano wa miporomoko ya ardhi fikiria kutoka hapo.
 
'''Wakati wa dhoruba na mvua kubwa'''
*Sikiliza redio au utazame televisheni kwa maonyo kuhusu mvua kubwa au kwa habari na maagizo kutoka kwa wenye madaraka rasmi wa eneo hilo.
*Fahamu ongezeko au kupungua ghafla kwa viwango vya maji katika mto au hori inayoweza kuashiria mtirirko wa vifusi upande wa juu wa mto. Mchururu wa udongo unaoteremka unaweza kutanguliza mtiririko mkubwa.
Line 43 ⟶ 42:
*Iwapo hatari ya mporomoko wa ardhi au mtiririko wa vifusi iko karibu, toka kwa njia ya mporomoko haraka. Kutoka kwa njia ya mtiririko wa vifusi ndio kinga yako bora zaidi. Enda katika eneo lililo juu na karibu sana katika upande mbali na njia hiyo. Iwapo mawe na vifusi inakaribia, kimbia kuelekea mahali pa kujisetiri palipo karibu na ujikinge(Ikiwezekana, chini ya dawati, meza, au samani zingine zozote zenye nguvu.)
 
'''Baada ya mporomoko wa ardhi au mtiririko wa vifusi'''
*Kaa mbali na eneo hilo. Kufurika au miporomoko zaidi inaweza kutokea baada ya mporomoko wa ardhi au mmonyoko wa udongo.
*Angalia watu waliojeruhiwa au kutegwa karibu na sehemu lililoathirika, ikiwezekana fanya hivyo bila kuingia njia ya mporomoko wa ardhi au mmomonyoko wa udongo.
Line 49 ⟶ 48:
*Piga ripoti kuhusu nyaya zinazotumika zilizovunjika kwa mamlaka husika.
*Tafuta maoni ya mtaalamu wa masuala ya ardhi (mtaalum aliyesajiliwa mwenye umahiri wa uhandisi wa mchanga) kwa ushauri kuhusu kupunguza matatizo nyongeza na hatari ya mporomoko wa ardhi. Mamlaka ya eneo inapaswa iweze kukueleza jinsi ya kuwasiliana na mtaalamu wa masuala ya ardhi.
 
==Tazama pia==
*[[Banguko]] (poromoko la theluji na barafu)
 
==Viungo vya nje==