Mboo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
 
==Mabadiliko ya ubalehe==
Ingawa kila mtu ni [[mwanamume]] au [[mwanamke]] tangu atungwe (kadiri alivyo na [[kromosomu Y]] au la), kabla ya [[kubalehe]] tofauti hazionekani sana, isipokuwa katika [[viungo vya uzazi]]. KumbeBaadaye muda unafikahufika wa watoto kuanza kukomaa kijinsia: ndipona tofauti zinapojitokezahujitokeza wazi.
Kutoka [[utoto]]ni kuingia [[utu uzima]] kuna mabadiliko ya haraka katika [[viungo]], [[hisia]] na [[roho]]. Kama ilivyo kwa [[viumbe hai]] wote, [[ustawi]] huo unaweza ukawahi au kuchelewa, lakini kwa kawaida unatokea kati ya [[umri]] wa miaka 12 na 16. [[Wasichana]] wanawahi kuliko [[wavulana]], na [[Wazungu]] kuliko [[Waafrika]], lakini mabadiliko ni yaleyale, nayo yanafanyika hatua kwa hatua.