Ubalehe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 27:
== Mabadiliko ya viungo vya uzazi ==
[[Uume]] ([[mboo]]) wa [[mvulana]] unakua, lakini kwa kiasi tofauti kati ya mtu na mtu. Ni muhimu kila mmoja ajipokee alivyo hata katika kiungo hicho, bila ya kuhangaika wala kuona [[aibu]] kwa sababu, eti ni kidogo. Hata hivyo, udogo wa uume unaweza kurekebishwa kwa kutumia [[vifaa]] maalumu za kuurefusha na kuongeza ukubwa wake<ref>{{Cite web|url=https://www.biggerpenisguide.pro/phallosan-forte-review-and-results/|title=Phallosan Forte Review {{!}} Clinical Study and Proven Results|language=en-US|work=www.biggerpenisguide.pro|accessdate=2018-09-03}}</ref> au kufanyiwa [[upasuaji]].<ref>{{Cite journal|last=Nugteren|first=Helena M.|last2=Balkema|first2=G. T.|last3=Pascal|first3=A. L.|last4=Schultz|first4=W. C. M. Weijmar|last5=Nijman|first5=J. M.|last6=van Driel|first6=M. F.|date=2010|title=Penile enlargement: from medication to surgery|url=https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pubmed/20169492|journal=Journal of Sex & Marital Therapy|volume=36|issue=2|pages=118–123|doi=10.1080/00926230903554453|issn=1521-0715|pmid=20169492}}</ref><ref>{{Cite journal|last=Campbell|first=Jeffrey|last2=Gillis|first2=Joshua|date=2017-2|title=A review of penile elongation surgery|url=https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pubmed/28217452|journal=Translational Andrology and Urology|volume=6|issue=1|pages=69–78|doi=10.21037/tau.2016.11.19|issn=2223-4691|pmc=PMC5313298|pmid=28217452}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.nhs.uk/live-well/sexual-health/penis-enlargement/|title=Penis enlargement|author=NHS|language=en-GB|work=nhs.uk|accessdate=2018-09-03}}</ref>
[[Uume]] ([[mboo]]) wa [[mvulana]] unakua, lakini kwa kiasi tofauti kati ya mtu na mtu. Ni muhimu kila mmoja ajipokee alivyo hata katika kiungo hicho, bila ya kuhangaika wala kuona [[aibu]] kwa sababu, eti ni kidogo.
 
Kusimika kwa uume si jambo jipya kwa kuwa [[utotoni]] limeshatokea kawaida kutokana na [[kibofu]] kujaa [[mkojo]]. Ila sasa linaweza kutokea kwa sababu mpya, yaani [[jinsia]].