Sopa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d wa wa --> wa using AWB |
No edit summary |
||
Mstari 1:
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Kata ya Sopa
Line 19 ⟶ 18:
}}
'''Sopa''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Kalambo]] katika [[Mkoa wa Rukwa]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa
[[Utamaduni]] ya wakazi wa kata ya Sopa ni [[Wafipa]] wanaotumia lugha ya [[Kifipa]] katika [[mawasiliano]].
Kata hii iliwahi kuwa sehemu ya [[Wilaya ya Sumbawanga Vijijini]] ikahamishwa kwenye wilaya mpya ya Kalambo mwaka 2012.▼
▲Kata hii iliwahi kuwa sehemu ya [[Wilaya ya Sumbawanga Vijijini]] ikahamishwa kwenye [[wilaya]] mpya ya Kalambo mwaka 2012.
Kata ya Sopa ina jumla ya vijiji saba
==Historia==
Sopa
Njia hiyo iliweza kutumiwa na wakazi tofauti
Baada ya mwaka 2002 [[hesabu]] ya sensa katika kijiji hicho ilifanyika na kuweza kupata [[idadi]] ya wakazi 18,141
Kijiji hicho kilitawaliwa na viongozi tofauti akiwemo Alfredy Mwanga Sokoni.
▲Kata ya Sopa ina jumla ya vijiji saba [7]kama vile Sopa, Mtuntumbe, Kasitu, Tatanda, Ilambila, Kalaela na Kamawe. Kuna jumla ya sekondari 2, ikiwemo Ulungu inapatikana kijiji cha Tatanda, pia shule ya sekondari Kanyele inapatikana kijiji cha Sopa. Utamaduni ya wakazi wa kata ya Sopa ni [[Wafipa]] wanaotumia lugha ya [[Kifipa]] katika mawasiliano.
==Marejeo==
Line 36 ⟶ 39:
{{Mbegu-jio-rukwa}}
{{Kata za Wilaya ya Kalambo}}
|