Masiya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Samuel e david.jpg|250px|thumb|Nabii [[Samueli]] akimpaka mafuta kijana [[Daudi]] kati ya kaka zake awe [[mfalme]] wa [[Israeli]]: mchoro huu wa [[karne ya 3]] uko [[Dura Europos]], [[Syria]].]]
[[Image:Codex Bruchsal 1 01v cropped.jpg|thumb|Yesu Kristo]]
[[File:The Last Judgement. Jean Cousin..jpg|thumb|right|''[[Hukumu ya Mwisho]]'' kadiri ya [[Jean Cousin the Younger]] (mwisho wa [[karne ya 16]]).]]
{{Yesu Kristo}}
Line 10 ⟶ 11:
==Katika Ukristo==
Jina hilo lilitafsiriwa na [[Septuaginta]] kwa [[Kigiriki]] Χριστός (''Khristós'')<ref name="EOC_1">[http://www.etymonline.com/index.php?term=messiah Etymology Online]</ref> nalo lilitumiwa mapema na [[Wakristo]] wa [[lugha]] hiyo kwa [[Yesu]] wa [[Nazareth]] kwa sababu ya kusadiki ndiye [[mkombozi]] aliyetimiza kikamilifu kila [[utabiri]] wa ma[[nabii]] wa [[Agano la Kale]]. Ndiyo sababu jina lake la awali limekuwa linaongezewa kwa kawaida hilo la Kristo, hivi kwamba imezoeleka kumuita [[Yesu Kristo]].
 
Kwa asili ni tamko la [[imani]] lenye sehemu mbili: jina "Yesu" na cheo "Kristo".
 
Katika lugha ya Kigiriki "Yesu Kristo" mara nyingi ni sentensi kamili, maana yake "Yesu ndiye Masiya wa [[Mungu]]", yaani Yesu ndiye Masiya aliyetangazwa na ma[[nabii]] wa [[Agano la Kale]] na kutazamiwa na [[Israeli]].
 
Katika aya nyingine za Agano Jipya "Yesu Kristo" tayari imetumika kama jina (linganisha: [[rais]] Mkapa, au: Mkapa rais - si yule Mkapa mwingine...)
 
Kutokana na umuhimu wa [[imani]] hiyo kwa wafuasi wa Yesu<ref>Tunahitaji kujua “habari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na nguvu” ([[Mdo]] 10:38).</ref>, wenyewe walianza kuitwa Wakristo huko [[Antiokia]], [[mji]] wa kwanza kuwa na waumini wenye asili ya kimataifa na waliozungumza Kigiriki kuliko [[Wakristo wa Kiyahudi|wale wenye asili ya Kiyahudi]]. Kumbe katika [[mazingira]] ya [[Kisemiti]] wanaendelea kuitwa kama awali ''Manasara'', yaani ''Wanazareti''.